Mhe. Alli Hassan Mwinyi (Raisi mstaafu wa awamu ya pili - Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania) na Mama Mwinyi wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mhe. Abdulrahaman Amiri Shimbo na Mama Balozi walipo tembelea ubalozi mnamo Julai 21, 2015.
Mh Ali Hassan Mwinyi katika picha ya oamoja ubalozini